INVISIBLE 2 - by Elton Tonny
Simulizi, Mkasa
{Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa}
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★
Niliingiwa na hasira kali sana kuona mwanamke anatendewa namna hiyo. Hasira ya namna ile ile niliyokuwa nayo kumwelekea Rashid na wajinga wenzake kipindi kile. Lyla akafika nyuma yangu na kusimama akishangaa pia, na hapo hapo nikatoka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments