Reader Settings

“Admiral Robert!!!”
Hamza alijikuta akitamka hilo neno, na papo hapo waliangaliana na Durk.

“Inaonekana Bildersberg wameamua kutuma mwakilishi wao, kwa nia ya kuongea kwanza kabla ya kutuma jeshi,” aliongea Hamza.
“Hili eneo lipo chini ya mamlaka yao. Kama tusipokubali kuonana nao, watatulazimisha,” aliongea Durk aliyekunja sura.
“Upo sahihi. Nataka pia kujua kwanini wanataka kuonana na mimi,” aliongea Hamza huku akitabasamu.
“Dokta Ronica, twende zetu—nipeleke nikaonane naye,” aliendelea Hamza.

“Damn …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next