Naitaka
Hospitalini, mara baada ya Hamza kuhakikisha kuwa hali ya mgonjwa inaendelea vizuri baada ya upasuaji, alimuacha Prisila hapo ili awe na jukumu la kubaki na mgonjwa.
Baada ya kutoka, alienda moja kwa moja hadi kwenye wodi na akamuona Eliza akiwa anaongea na Ronicas.
Mama yake Eliza bado alikuwa kitandani, hajitambui. Lakini kulinganisha na alivyokuwa mwaka jana, kulikuwa na mabadiliko makubwa.
“Lizzy, vipi kuhusu hali ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments