DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA SITA
★★★★★★★★★★★★★
Siku haikuwa imeisha bado kwa upande wake Reuben. Baada ya kuwa chini ya hali zenye kumpa hisia nzito kutokea kazini mpaka nyumbani, mwanaume huyu akawa ameamua kuchukua hatua aliyofikiri ingeweza kumpa kitulizo, na bila kuelewa kihususa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments