DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA SABA
★★★★★★★★★★★★★
Ndani ya chumba kile kingine, Reuben aliachwa na bumbuazi dogo, kumwona Josephina ndani ya mavazi yenye kuamsha hisia za kimahaba na mguso wa mikono yake kwake kulipumbaza sana, lakini kwa kiasi kikubwa alitatizwa na hali hii …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments