Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE 2

Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

(R-rated 18+)

Enjoy!

★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA KUMI NA TANO

★★★★★★★★★★★★★★★


Lyla akawa ananiuliza shida ni nini, lakini nikashindwa hata kujibu. Nikamwangalia mwanaume huyo na kisha kwa hasira nikaishika nguo yake karibu na shingo na kumvutia usoni kwangu ili anitazame.

"Mmelitega wapi? Nijibu!" nikafoka kwa hasira.

"Kwenye kiwanda …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next