INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA SITA
★★★★★★★★★★★★★★★
Niliipaza sauti mpaka wadada wetu wa kazi wakaja kutokea vyumbani kwao wakiwa wameshtushwa na kelele yangu. Mama alikuwa jikoni inaonekana, naye akaja upande wangu akiwa anashangaa sana.
"Tristan... mbona unapiga kelele?" akaniuliza huku amekunja uso …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments