Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

“Haraka hivyo?”

Hamza hakutegemea mwanamke huyo angetaka kwenda kwenye mada husika haraka iwezekanavyo. Hata hivyo, macho ya kirembo ya Eliza yalichanua ikionyesha hakuwa akidanganya kile alichokuwa akiongea.

"Ni muda mrefu tokea nilipoomba..." Aliongea kwa sauti ya puani, lakini mara baada ya kumaliza sentensi hiyo aibu zilimwingia palepale.

Hamza alifikiria pale kwa dakika na aligundua Eliza alikuwa amempita umri kwa miaka kadhaa na umri wake huo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next