"Nilijua itakuwa mechi ya sita kwa mbili, ila naona Earth Dragon na Wind Dragon hawapo hapa, inaonekana wapo na akili nyingi mpaka kuamua kutoshiriki," aliongea Hamza. Ukweli ni kwamba Hamza alishashiriki vita nyingi sana, hivyo asingeogopeshwa na hali kama hiyo.
"Sisi tunatosha sana tu. Lucifer, ni kweli unataka kuwa na uadui na sisi Dragon Knight kwa sababu ya Durk?"
"Aulando, ijapokuwa nilishajua muda mrefu unashirikiana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments