Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MIAKA MITANO BAADAE

Kwenye uwanja wa ndege wa taifa, JNIA ilionekana ndege kubwa ikitua kwa kasi na hatimae kasi kupungua na kusimamia sehemu ya kushuka abira na mlango ulifunguliwa pia ngazi ikiwa tayari kwa abiria kuteremka

Waliteremka raia jinsia tofauti, rangi tofauti, wakubwa na kwa watoto na mwisho kabisa kushuka alikuwa ni mwanaume mrefu wa wastani, mweupe wa ngozi na jua la saa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next