Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Ndani ya dakika moja lift ilikuja kufunguka kwenye floor ya nne ya ghorofa la hospitali hiyo na Cid alitoka haraka haraka akikimbilia kwenye chumba alichokuwepo mke wake

Jimmy baada ya lift kufunguka na kutoka hakuwa na haraka kama ilivyo kwa Cid, yeye alitembea tu polepole na hakuingia kwenye chumba alichoingia Cid, alikwenda kukaa kwenye benchi nje ya chumba kile

"Mke wangu mumeo nimefika" …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next