INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA NANE
★★★★★★★★★★★★★★★
"Unamaanisha nini? Mwili wa nani?" nikamuuliza.
"Tafadhali njoo hospitalini kwenye mochwari ili kuthibitisha," akasema kwa ufupi.
Nikashusha mkono wangu wenye simu nikiwa nimechoka akili. Lyla akanishika begani na kuanza kuniuliza nini tatizo, lakini nikabaki kumwangalia tu usoni. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments