Bianca alikuwa amezidi kuwa mrembo maradufu na umbo lake lilizidi kuvutia, nyuma yake kulikuwa na walinzi wakike watatu wote wakiwa wamevaa suti nyeusi wakitoa ulinzi
Jimmy alikuwa akitazamana naye uso kwa uso kwa hisia zisizoelezeka walitazamana kwa sekunde kadhaa bila kutoa neno ni kama vile macho yao ndiyo yalikuwa yakizungumza na walishtuliwa kutoka kwenye kuzubaa na sauti ya mama yake
"Hatimae supa staa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments