Wote waligeukiana na kuangaliana bila kupata jibu lolote la kueleweka juu ya jambo hilo, taarifa zilizo fuatia zilielezea namna alivyokuwa amekufa kwenye oparesheni ya kijeshi. Alikuwa miongoni mwa wanajeshi ambao walichaguliwa kwenda kutoa msaada ndani ya nchi ya Somalia kupambana na kundi la waasi la Al-Shabaab na ndipo ikarudi maiti yake yeye. Swali ambalo walibaki nalo ni kwamba iweje mtu ambaye alikuwa amekufa miaka miwili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments