ENTEBBE POLICE STATION
MASAA NANE (8) KABLA YA LEYLA KUTEKWA JNIA.
Ndani ya ardhi ya Yowel Kaguta Mseven, raisi ambaye alinukuliwa mwaka 1986 akidai kwamba tatizo kubwa la Afrika ni viongozi kung’ang’ania madarakani lakini kitu cha kushangaza hata yeye mwenyewe baada ya kuingia madarakani alinogewa kiasi kwamba mpaka leo imeshindikana kuweza kutoka kwenye kiti hicho cha Ikulu.
Entebbe ina historia kubwa husuani wakati wa utawala …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments