Reader Settings

Ikabidi walichukue na begi lake ambapo kwenye begi waliikuta laptop moja tu pekee, waliiwasha ikawaka bila kukutana na upinzani wowote ule. Kwenye ile laptop kulikuwa na faili moja tu pekee ambalo walijaribu kulifungua lakini likagoma kwa sababu lilikuwa linahitaji nywila ili kuweza kufunguka na hapo ndipo mkuu wa kituo hicho akamgeukia tena mwanaume huyo akiwa anatoa ishara kwa vijana wake kuchukua ile mipira ya maji …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next