“Una maana gani kusema unachukuliwa baada ya masaa kumi yajayo na haya umeyafahamia wapi”
“Hizi ni hesabu ndogo ambazo zinatokana na utaratibu wa sheria za nchi fulani, kwa mtu kama mimi ni rahisi kuishi na hizi hesabu kwa sababu nimeishi haya maisha kwa muda sasa”
“Unataka nifanye nini?”
“Kuanzia sasa yakipita masaa nane Tanzania kuna tukio la mauaji na utekwaji wa mtu litatokea kwenye eneo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments