Reader Settings

“Hili taifa lako lipo hatarini na bado masaa nane tu yatokee maafa ya kihistoria lakini hilo unaweza kulizuia wewe hapo na kwa bahati mbaya siwezi kuongea mpaka nipewe ninacho kitaka”

“Unavyo ona hii serikali unahisi kwamba ni genge la wahuni kiasi kwamba unaweza kuja hapa na kudai unacho kitaka wewe? Hilo bomu ambalo unadai lipo kwenye taifa hili ni stori za kutunga bwana mdogo, hili …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next