Raisi alikubali kumtuma kamishna wa jeshi la polisi wa Tanzania kwenda Uganda usiku huo huo kuonana na mtu huyo kama alivyotaka. Baada ya mazungumzo kukamilika ndipo Yohani alipo mgeukia mama huyo kumpa maelekezo na wakati huo lilikuwa limebakia saa moja tu linasoma kwenye ile saa ya bomu.
“Leo kwenye uwanja wa taifa kuna mechi kubwa kati ya timu ya taifa ya Uganda dhidi ya timu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments