Uzuri hakukuwa na ulinzi mkali kama walikotoka, zaidi kulikuwa na kamera kila kona na ilionekana kuna walinzi wana nyumba yao pia na Jimmy alikuwa sahihi kwani upande wa kushoto wa jumba hilo kulikuwa na nyumba nyingine ndogo na alijiambia watakuwa humo wakilinda kupitia kamera zionyeshwazo kwenye Tv ndogo ndogo
Mwanamama Mary alikwenda mpaka mlangoni na ile kufungua tu tu anakutana mlinzi wa kike akiwa anatoka
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments