SEHEMU YA TATU
MWANAMKE
Laiti kama hadithi ya maisha yangu ya mahusiano na Ans ingeandikwa kwenye kitabu, nadhani kingekuwa kitabu bora kabisa sokoni kwa mauzo.
Maana ingekuwa ni hadithi iliyopambwa kwa matukio ya furaha, amani, vicheko,machozi na huzuni pia.
Nimedumu naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na kamaaa…miezi miwili hivi.
Kwa desturi, watu wanaopendana hupenda sana kuongelea nyakati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments