SEHEMU YA NNE
USHAHIDI WA MWANAMKE
Siku ya kwanza kumpatia namba zangu nilikuwa nimejiingiza kwenye mtego uliokuwa umerembwa vizuri na kunihadaa. Kama utani tu, nikawa nasubiri anitafute.
Usiku wa kwanza, kimya!...nilikesha nikisubiria
ujumbe wowote ule kutoka kwenye namba ngeni lakini kioo cha simu yangu kilinionesha meseji kutoka kwa watu wengine tofauti tofauti niliowafahamu.
Hakuna namba yeyote ngeni ilionitafuta. Asubuhi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments