SEHEMU YA TANO
HUKUMU
Nimekusikilizeni vizuri sana. Nyote mmeyawasilisha yale yaliyomo mioyoni mwenu.
Huenda mlikuwa kimya kwa muda mrefu bila
kuwasiliana. Lakini akili zenu zilipiga kelele
sana...kutaka kusema yaliyoshindwa kutamkwa kwa kinywa.
Miezi kadhaa iliyopita mlikuwa penzini. Mlipendana mkajaliana sana...mkatembea katika bahari tulivu yenye
pendo la kweli mkipeana ahadi nyingi sana. Sitaki kufahamu ni ngapi mlizozitimiza lakini ninachokiamini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments