Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

"Ningekuwa najua nisingeuliza mzee wangu" Jimmy alimjibu mlinzi huyo

"Huyo ni msanii maarufu wa hapa bongo, anaitwa Bakari Juma almaarufu kama Beka"

"Oh sasa msanii anakuja kufanya nini huku muda ambao anatakiwa studio?"

"Kijana inaonekana hujui mengi licha ya kumiliki simu janja, mimi na huu uzee wangu lazima nizame mtandaoni kujua nini kinaendelea nchini na suala la huyo dogo kuja hapa iko …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next