"Tofauti kubwa kati yangu na nyie wote ni utofauti wa kimtazamo juu ya huu ulimwengu. Bila shaka sio kwasababu ya mazingira niliokulia," aliongea Hamza huku akimwangalia Aulando akiwa na tabasamu.
"Ukweli nyie watu mlidharau kitu kimoja?" aliendelea kuongea.
"Kitu gani?" aliuliza Aulando.
"Huu ulimwengu sio wa mtu mmoja wala sio wa watu kadhaa au kundi la watu… kuna zaidi ya watu bilioni saba kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments