Muda ule mara tu baada ya Aulando kumaliza sentensi yake, mwonekano wake ulibadilika na kuwa kama upepo wa kisulisuli na kumsogelea Hamza kwa spidi kubwa.
Hamza muda ule hisia zilimwambia ni kama spidi hiyo ndio uwezo wake wa mwisho. Lakini hata hivyo hakutaka kumsubiria Aulando katika eneo moja na kusubiria kifo chake. Hivyo palepale alianza kurudisha shambulizi.
Wote wawili walisogeleana kwa spidi kubwa wakilengana usawa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments