Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Sauti za mchakacho zilisikika pale mlangoni. Halafu kishindo kikubwa kilichofanana na anguko la mzigo mzito kilifuatia.

Ni kishindo hiki kilichomshtua Feruzi kutoka usingizini.

"Eeh! Nani hapo mlangoni?!!" Akapaza sauti ambayo ilichanganyikana na hofu.

Hakujibiwa badala yake mlango ukaanza kugongwa kwa nguvu.

Ngo! Ngo! Ngo! Halafu kimya.

Feruzi akamtazama rafiki yake aliyekuwa amelala pale pembeni yake.

Akamuamsha pasi mafanikio. Alikuwa amelala usingizi mzito …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next