Utulivu mkubwa uliokuwa nje ya jumba hili kubwa lililofanana na kasri ulikaribisha hali ya upekee, hali ya ukimya.
Ni utulivu na ukimya huu vilivyohitajika sana na kuwafukuza watu wasiyazoee mazingira yaliyokuwa karibu na eneo hili. Jambo lililochagua barabara ya wapita njia yenye hekaheka nyinginezo iwe na mbali sana kwa kilomita nyingi kutoka kwenye eneo la jumba hili.
Ikabaki kuwa kama fununu tu kwa watu kuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments