Kama giza lingepewa uhai basi lingesifia sana hili kumbato la viumbe hawa wawili wanaopendana.
Ni kijana wa kiume na binti wakiwa katika sehemu yao ileile waliozoea kukutana siku zote, endapo tu kuna dharula iliowataka wao kuonana haraka.
Walilitegemea sana giza hili liwafiche ili wasionekane na walimwengu wengine. Hasahasa majirani au ndugu wa karibu na yule binti. Huyu ndiye ambaye siku zote aliishi katika dunia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments