Ni sauti yake!
Akajihakikishia mwenyewe. Lakini hakujua ni kwa namna gani simu ya Mtemi imefika kwake, na hakujua ile sauti ya kilio ni ya nani. Angejifariji basi kwa kuamini kuwa ile sio sauti ya Mtemi lakini angemdanganya nani sasa kama sio yeye mwenyewe.
"Wew...we ni nani?!" Akiwa na wasiwasi akajikuta amepata lepe la nguvu kidogo walau kuuliza swali lile, ambalo ni kama majibu yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments