Reader Settings

Upande mwingine ndani ya chumba kwenye kitanda kikubwa chenye inchi themanini na nne urefu na upana Bianca alikuwa amekaa kitandani akiwa katika hali ya mawazo

Chumba chake kilikuwa ni kikubwa kilichosambaa harufu nzuri ya kike, kulikuwa na shelve la vitabu mbalimbali, kulikuwa pia na masofa ya bei ghali, upande wa dirishani kulikuwa na piano kubwa ya mbao, japokuwa hakukuwa na viyu vingi sana licha ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next