Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

"Mlimuokota mida ya saa ngapi?" Sauti tulivu ya kiume ikauliza.

"Ilikuwa saa nne hivi mida ya usiku daktari. Alikuwa peke yake amelala chini." Akajibiwa kwa sauti nyingine ya kiume.

"Anaonekana hana jeraha lolote lile kwenye mwili wake. Na vipimo vinaonyesha kuwa msukumo wa damu yake uko sawa na mapigo ya moyo yako sawa pia." Daktari yule akatoa maelezo machache na kutulia, kisha akairekebisha miwani yake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next