Reader Settings

Aliporejewa na fahamu, hakuhitaji maelezo mengi sana juu ya hali aliyokutwa nayo kipindi anafikishwa katika zahanati ile.

Alifahamu fika kuwa alizirai lakini sio kwa ajili ya ugonjwa wa siku zote, bali ni mshtuko wa ghafla tu uliomkumba baada ya kufanya maongezi fulani.

Na ni haya maongezi yaliyomsononesha na kumpa mfadhaiko.

"Pole sana kaka yangu, hauna tatizo lolote lile ila ni mshtuko tu wa ghafla ulipata. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next