Walichokisikia hakikufanana kabisa na walichokitarajia asilani.
Ni huyuhuyu kijana, mdogo kiumbo ambaye wasingeshindwa kumdhibiti kama tu wangepata nafasi hiyo.
Lakini walikuwa tayari wamezidiwa hatua moja mbele, akawazidi maarifa na akili.
Wako chini matumbo yao yakiikumbatia ardhi na mikono yao wote ikiwa ndani ya pingu moja ya chuma kila mmoja.
"Kukamatwa sio kuhukumiwa. La hasha! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa." Kwa sauti yake ileile ndogo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments