Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Baada ya kutosheka na kila aina ya vitisho akaamua kutokomea ndani ya vilindi vya giza la usiku ule. Giza likammeza na akaanza kupiga hatua zake kuelekea asikokujua.

Ili mradi tu awe mbali kabisa na nyumba ile inayokimiliki chumba chake.

Alikuwa ameshatambua fika kuwa hata akilia hakuna jambo lolote lile atakalolibadilisha.

Tayari maisha yaliamua kumtumia kila aina ya vibweka na sasa aliamua kukabiliana navyo.

"Niende …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next