Mwanga wa siku mpya uliangaza.
Uliangaza na kuleta sababu mbili kubwa kwa kila mtu aliyeamka siku hii.
Sababu ya kwanza ikiwa ni bado Mungu anawaaminia katika mapambano yao.
Na sababu ya pili ni kuwa bado kuna mambo yao wanayotakiwa kuyakamilisha kabla hawajavunja ndoa yao na dunia.
Kila mtu aliyefanikiwa kuuona mwangaza wa jua la siku hii alikuwa na sababu yake maalumu ambaye ni aidha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments