Hamza na Eliza mara baada ya kutoka ndani ya jengo la kampuni walienda moja kwa moja mpaka kwenye mgahawa uliokuwa maarufu kwa upikaji wa samaki na kujipatia chakula chao hapo.
“Hubby mbona kama hauna furaha?”Aliuliza Eliza.
Mara nyingi wanapokuwa peke yao ,Eliza alikuwa akimwita hivyo Hamza.
Upande wa Hamza kila mara anapomsikia mwanamke huyo akimwita hivyo moyo wake lazima ushikwe na ganzi.
“Hapana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments