Brown Mwacha Kizito!
Lilikuwa jina mojawapo kati ya majina ya watu wengi ambao walikuwa vielelezo kwa jamii kuwa mtu anaweza kutokea matopeni lakini akaibukia kwenye sakafu zilizotandikwa kwa zuria jekundu ili wapite.
Red Carpet!
Mali na utajiri alioumiliki ulimbatiza majina mengi sana kwenye vinywa vya watu.
Tajiri, kiongozi, don, mkuu, Mzito, Bosi na mengine mengi, ili mradi tu majina hayo yabebe heshima.
Utajiri ukamuweka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments