Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

"Oyah! Ulimwambia huyu jamaa yako kuwa uko hapa au?" Kagoye akamuuliza Feruzi huku akihema kwa hofu na jasho jembamba likimvuja, pumzi zikimtoka kwa kasi.

"Hapana bro!"

"Sasa amejuaje kuwa uko hapa...kwanza amenijuaje?" Maswali mfululizo yakanyesha kutoka kinywani kwake.

Lakini kitu pekee alichokiambulia ni kutazamana na Feruzi ambaye hata naye alionekana kuchanganyikiwa.

Jambo hili likawajumuisha watu wawili ndani ya chumba ambao wote wamechanganyikiwa.

"Katumia simu yako …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next