Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Kuduwaa ni msamiati wa Kiswahili.

Na hapakuhitajika msaada wa kamusi kwa mtu asiyefahamu maana ya msamiati huu kwa wakati kama huu.

Kama tu mtu angetaka kufahamu maana halisi ya kuduwaa tena kwa vitendo, basi asogee hapa barabarani na kumtazama Abednego.

Alikuwa ameduwaa!

Mkono mmoja kiunoni, mwingine ukishikilia simu ile ndogo mbayo aliitazama bila kupata majibu yoyote yale. Ilikuwa ni kama anaiuliza maswali magumu na yenyewe …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next