Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

"Naam...ni mimi!" Mtu huyu mgeni aliyeingia ndani ya chumba pasi na kujulikana alikotokea akamjibu kwa sauti ileile iliyokauka.

Feruzi akatamani kuparamia ukuta atafute upenyo na akimbie lakini akagundua kuwa akifanya hivyo ataishia kuchekesha tu. Akajua kuwa yuko mbele ya mzuka wa Mtemi, rafiki yake ambaye siku mbili au tatu nyuma aliambiwa kuwa ameagana na uso wa dunia.

Lakini muda huu huyu hapa, anatazamana naye.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next