Siku moja nyuma,
Wingu zito liliudhibiti mwangaza hafifu wa mbalamwezi, na kuinyima ardhi ya haki yake ya kupata nuru wakati huu wa usiku.
Muunganiko wa vivuli vikubwa vya miti na sauti za vilio vya wanyama mwitu, vikaendelea kukoleza hali ya kutisha na kufanya msitu huu kuwa mahali pa kuogopeka zaidi.
Katikati ya giza hili hili, jumla ya miguu nane ya wanadamu, ilijongea kwa kutoa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments