Uso kwa uso,
Konstebo Tito Ngeze alikuwa kwenye dawati la mahojiano na Abednego ambaye alihitaji kumueleza yote aliyoyashuhudia, yeye peke yake na sio askari mwingine.
Tito alimpa sikio na akasimulia mambo yote yaliyotokea mpaka Feruzi anatekwa. Alisimulia yote, isipokuwa machache ambayo yalimhusisha yule bwana mwenye kovu na hakumsimulia juu ya mkasa uliomkuta Feruzi mpaka anajiingiza mwenyewe kwenye masaibu haya.
Tito alimsikiliza kwa makini bila …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments