Hakukuwa na namna...
Baada ya kutishiwa uhai juu ya kufichuliwa kwa siri ya utajiri wake,
Boss Mzito alitamka kila alichokifahamu bila kuacha kitu chochote kile.
Aliwafunulia kila kurasa ya kitabu cha historia ya maisha yake kuanzia nchini Uganda mpaka alipoletwa hapa nchini Tanzania kama mfungwa aliyetoroshwa.
Akawafunulia kurasa zilizotaja ufanisi wake wa kazi kwenye mafaili kadhaa ya uhalifu yaliyomilikiwa na watu wa chama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments