Franko Don Bosco, ama Don Franko;
Alikuwa ndani ya chumba chake kidogo ambacho yeye alikiazima imani yake yote na kukichukulia kama ofisi.
Akiwa amesimama anazunguka zunguka huku na kule, kichwa chake kikipanga mawazo na kuyapima kisha kingeyapindua na kuyakataa. Halafu angepanga mengine na kuyaona yako sawa akayakubali. Mara likaingia wazo jipya lililomsogeza moja kwa moja mpaka juu ya ukuta ambapo alikuwa ametundika picha moja kubwa. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments