Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Utulivu uliotawala kwenye maficho yao, uliwazawadia hisia kali mno ambayo ingeweza kumuona hata mdudu mdogo anayetambaa ardhini, kama tu angesababisha kelele isiyohitajika.

Walitulia huku wakilitazama jua linavyozidi kufanya safari yake ya siku zote, muda ukipotea na saa zao zikazidi kuwajulisha kuwa hata hii jioni inakaribia kuwaaga ili kulipisha giza la usiku.

"Mkuu! Una uhakika kuwa watanasa kweli?" Dubu akaitangaza wasiwasi yake ambayo alishindwa kuivumilia kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next