Unapoamua kusaini mkataba wowote ule na shetani..basi usitegemee uaminifu wa aina yoyote ile kutoka kwake...
Shetani sio lazima awe na pembe na wala sio lazima awe na mkia...
Naweza kuwa mimi, unaweza kuwa wewe, anaweza kuwa yeye.
Shetani sio jina, ni cheo.
Tafsiri kadri ya uelewa wako....
Na hii ni sehemu ya 26.
Mwanzo haikujulikana kama mlipuko ule uliondoka na roho ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments