Ni rahisi sana kushinda vita endapo tu unapigana na adui unayemuona.
Ni vigumu sana kushindana na adui usiyemuona...
Omba sana adui yako asiwe yule unayekula naye sahani moja
Ni sehemu ya Ishirini na saba....
Kilichoonekana pale mbele ya macho yao ni mwili wa mtu uliopasuliwa kwa mapigo mawili huru. Pigo la kwanza likikipasua kifua chake kwa panga na la pili likajaribu kutumia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments