Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Karma ni kweli...

Chochote kile unachokifanya leo...kiwe kiovu au chema...

Kitakurudia katika namna hiyohiyo.

Na hii ni sehemu ya mwisho...

Boss Mzito alifanikisha suala la kutega kifaa cha kutraki kwenye koti la Don Franko. Hiki kiliweza kuonyesha mwendo wake wote kwenye ramani maalumu.

Alijua fika kuwa yeye hatahusishwa moja kwa moja kwenye vita hii. Akaenda kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili mradi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua