Aulando aliweza kukwepa shambulizi la silaha iliyovunjika ya Hamza na kuanza kucheka.
"Hahaha... Lucifer unatania!? Yaani umetoa silaha ya mti kwa ajili ya kupigana na silaha yangu ya kidragoni?"
Mara baada ya kuona jambo hilo, wale wanajeshi wengine wa kidragoni waliweza kushikwa na hali za ajabu kwenye nyuso zao. Hata wao pia walishindwa kuelewa kwa nini Hamza alitumia silaha ya mti kutaka kushindana na silaha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments